Nyimbo ya "mdogomdogo" ya Diamond ni advanced version ya "Aye" ya Davido!

Nyimbo ya "mdogomdogo" ya Diamond ni advanced version ya "Aye" ya Davido!

XOXOQY

Senior Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
193
Reaction score
54
Japo nyimbo hizi mbili zina maana tofauti, lakini zote zimepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hizi mbili ni ile ile!

Sema mkali Diamond katika sehemu ya familia ya mfalme ametupia wazungu, lakini mwisho wa siku wote waliopoa mabinti wa kifalme na kuwachezesha midundiko ya kiasili!.

Tazama video zote mbili vizuri ndo uje kuanza kubisha! tunakopy kidigital siku hizi,chezea Diamond wewe!
 
Japo nyimbo hz mbili zna maana tofauti,lakin zote zmepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hz mbili ni ile ile!sema mkali diamond ktk sehemu ya familia ya mfalme ametupia wazungu,lakn mwisho wa siku wote waliopoa mabint wa kifalme na kuwachezesha midundiko ya kiasili!chukua hyo......!tazama vdeo zote mbili vzur ndo uje kuanza kubisha!tunakopy kidigital siku hz,chezea diamond wewe!

Jinx at work
 
hahahaha! Haya bana, ndo upeo wetu wakufikiri umeishia hapo yaani aye na mdogo mdogo are typical different... No correlation so far.
 
hahahaha! Haya bana, ndo upeo wetu wakufikiri umeishia hapo yaani aye na mdogo mdogo are typical different... No correlation so far.

Unaelewa maana ya maneno "typical different"? Au ndo ushabiki wako umekupunguza uwezo wa kupambanua mambo?hebu katazame zle video vzuri na ujue theme zake ndo uje uongee tena,labda safari hii unaweza kusema typical identical!
 
Yaani. Mdogo mdogo ni zaid ya aye maana umesema ni advanced version..haiko hvyo
 
Back
Top Bottom