Truth guy.
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 396
- 196
Yule mfadhili wa ujambazi Tz na raia wa Nigeria, Kingsley O.Ugiagble ameondolewa nchini huku akitamba kuwa serikali haiwezi kumfanya lolote.
Kingsley alikuwa akilindwa na maofisa vigogo walioko ikulu na idara ya uhamiaji,baada ya habari zake kuanikwa hadharani na chombo kimoja cha habari,maafisa wa TISS na uhamiaji walikutana kwa siri na kumjadili,kisha wakaamua akamatwe haraka,watu wa karibu na Kingsley walimtonya juu ya mpango wa kukamatwa kwake ikabidi aende kujisalimisha mwenyewe,ambako alihojiwa na kukiri kuendesha uhalifu ikiwa ni pamoja na kumiliki mtambo wa kuchapisha noti bandia za mataifa mbalimbali.
Jambo la kushangaza hapa ni kuwa badala ya kumfikisha mahakamani akashtakiwe, waliamua kumwondoa nchini, kwa hali hii inawezekana hata hajaondoka kahama mkoa tu ili aendelee kufanya uhalifu ambao nyuma yake wapo vigogo wa ikulu, Tanzania haiko salama,kuna kina kingsley wangapi tusiowajua?
Kila mtu aishi kwa tahadhari sana, hakuna police imara wa kutulinda jamani,kazi kwetu wenyewe kujilinda na family zetu.