Ili kuziwesha kupata soko kimataifa, movies zetu zimewekewa maneno ya kiingereza ili kutafasiri kinachoongelewa kwa kiswahili.
Cha ajabu English structure na grammar katika sentensi hizo ni mbaya sana kuliko maelezo!
Msanii unawezaje kutengeneza movie ya mamilioni ya shilingi halafu unashindwa ku-hire mtaalam mzuri wa lugha akufasirie??!!
MNAHARIBU SOKO LENU NA KUTUAIBISHA WATZ BANA....