Top 10 Richest Bollywood Actors in Net Worth
Top 10 Richest Bollywood Actors in Net Worth
1. Shahrukh Khan
Shahrukh Khan is the richest Bollywood actor in India with a net worth of US$600...
wadau wa tamthilia za kimexico tv one wana tamthilia moja nzuri mno inaitwa the return"la patrona"kila jumatat hadi ijumaa saa kumi na moja na nusu jioni
jamani nzuri nimeikutia kati ila...
Habari wanajf, leo nilibahatika kuangali EATV kipindi kinaitwa 5 selekt (siyo select). Msanii Queen darleen alikuwa studio anahojiwa, aliulizwa ni msanii gani alimvutia kuingia kwenye muziki...
Mashindano la Miss Tanzania 2014 yaliyokuwa lifanyike Jumamosi sasa halitafanyika hadi pale kesi ya msingi iliyozua mzozo baina ya wakurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency inayoratibu mashindano...
B2Bstar is a great site which brought together different markets and entertinments business within one roof;
Therefore it act as a junction of all markets and business sectors in...
Jana nilisoma makala moja ya diamond platnumz (mr president ) akayaongea haya yafuhatayo Kuna nyimbo nzuri na maarufu hit song, kuna wasanii wengi Tanzania wanaimba nyimbo nzuri lakini...
NIMEIKUTA MTANDAONI HII
Zile tetesi kwamba muigizaji wa Bongo Movie, Jackline Wolper Massawe, kuwa ni msagaji, zinazidi kuota mizizi. Hii ni baada ya Jacline Wolper kuonekana...
habari za wakati huu wakuu,
shida yangu ni wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu' naupenda lakini sina nataka niweke kwenye pc yangu ili niwe nasikiliza wakati nafanya kazi zangu.
thanks
Homeland is one of my favorite TV Shows. For my taste, it's second to 24 ingawaje kuna kitu nakipenda zaidi kwenye Homeland as compared to 24... LITTLE VIOLENCE but story! As we all know, wale...
NILIWALIZA NAMI NIKALIZWA
Wewe uliwaliza nawe ukalizwa ,unamaanisha nini?Robin alikuwa anamuuliza rafiki yake amfafanulie maana ya maneno aliyoambiwa na rafiki yake huyo anayeitwa Frank...
Kuna artist hapa nchini anaitwa msami nadhani wengi mtakua mnamjua kwa nyimbo yake ya sound track naomba niulize kwa wale walio ona video duh! Huyu jamaa mbona swaga zake jama sizielewi elewi...
Wimbo " Mwana" by Alikiba ni Dongo Kwa Diamond.
https://www.youtube.com/watch?v=cllJK5AMJf0
HUU HAPA UTHIBITISHO.
Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,
Hapa Alikiba...