Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Film gani iliyo kukosha zaidi kati za Film za Aki na Ukwa wa Bongo Movies?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naitafute torrent ya hiyo movie ya Denzel Washington (Mississippi Masala 1992) Kama kuna mtu mwenye clean copy anipe link please. Thanks
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Msaada mahali naweza download movies za wamarekani weusi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aries Spears on African Men - YouTube
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ni kweli kuwa hip hop ni uhuni? hatuwezi kupata mawezo ya kujenga na ya kimapinduzi kutoka kwenye hip hop?. Si mwingine bali ni mama mmoja ambae jina lake haikuwa rahisi kufahamika,alikuwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Ni mshabiki mkubwa sana wa muziki wa Curtis James Jackson a.k.a 50 Cents. Nimeanza kufuatilia muziki wake na habari zake toka mwaka 2000. Kama wewe ni mshabiki wa 50 Cents...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu nipe maoni mdau, Demoreel yangu ya Motion Graphics & 3D Animation hii hapa: MOTION GRAPHICS DEMOREEL - YouTube Kama unataka marketing video, Explainer/Promo video, Logo intro, Video intro...
1 Reactions
1 Replies
690 Views
If tomorrow never comes. Pata Burudani. Wameimba watu mbali mbali, ila original yake imeimbwa na Garth Brooks. Kevin Skinner yeye ameimba vizuri pia katika Amerca Got talent. "If...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Ni kati ya ngoma kali mno za jb mpiana http://youtu.be/OaBVjaRL89o
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu. wakuu naomba kuuliza kwa mtu anayefahamu TV, RADIO zinazofanya vipindi vya sanaa na utamaduni hapa tanzania
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Top 10 Richest Bollywood Actors in Net Worth Top 10 Richest Bollywood Actors in Net Worth 1. Shahrukh Khan Shahrukh Khan is the richest Bollywood actor in India with a net worth of US$600...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
wadau wa tamthilia za kimexico tv one wana tamthilia moja nzuri mno inaitwa the return"la patrona"kila jumatat hadi ijumaa saa kumi na moja na nusu jioni jamani nzuri nimeikutia kati ila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wanajf, leo nilibahatika kuangali EATV kipindi kinaitwa 5 selekt (siyo select). Msanii Queen darleen alikuwa studio anahojiwa, aliulizwa ni msanii gani alimvutia kuingia kwenye muziki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
nimehangaika net nimeikosa. anaeweza kuiweka hapa atakuwa kanisave sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wenzangu na mim tunaofuatulia Vampire diaries season 6 kitu kimetoka Jana...don't miss pia The Originals ipo njian next wiki itakuwa kwa hewa..
0 Reactions
26 Replies
3K Views
nataka kujua arrow itaanza kutoa lin? Maana nliskia mwez wa 10 ila naona kyma
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu mpo? jamani mbona sijawahi ona post zinazo husu taarabu au wapenzi wataarabu humu hawapo?
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Yani katika style za ku dance napenda mbili tu, chacha na kwaito, kwaito ipo, chacha tucheze wapi?
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Majina ya ajabu ajabu ya movie za Bongo..... 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Kaundime CC: LiverpoolFC Ongezeeni nyingine..............
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Mashindano la Miss Tanzania 2014 yaliyokuwa lifanyike Jumamosi sasa halitafanyika hadi pale kesi ya msingi iliyozua mzozo baina ya wakurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency inayoratibu mashindano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…