Mkuu Viol acha uhuni bhana, hebu ongezea nyama kwanza post yako ili watu wachangie! In short ni kwamba ipo ICU... cjawahi kuwa karibu na hawa watu kwa muda mrefu sasa lakini si ajabu stori zinazoendelea huko ni "mkubwa keshatuendea kwa bibi!"hawasikiki kabisa
Mkuu Viol acha uhuni bhana, hebu ongezea nyama kwanza post yako ili watu wachangie! In short ni kwamba ipo ICU... cjawahi kuwa karibu na hawa watu kwa muda mrefu sasa lakini si ajabu stori zinazoendelea huko ni "mkubwa keshatuendea kwa bibi!" Ndio maana tulioanza kufuatilia huu muziki toka kitambo tunafahamu kelele za mashabiki hazimshushi wala kumpandisha mtu vinginevyo Wanaume Halisi leo hii wangekuwa juu na Family wameshapotea! Wanaume Halisi walibaki na mtaji wa mashabiki wasio na msaada wowote zaidi ya kuja ukumbini na kurusha makopo wakati Wanaume Family walibaki na watu wanaofahamu fitina za muziki wa Kibongo... Ili ubaki kwenye game kwenye jiji hili ni lazima ufahamu fitina za muziki zipo vipi... ndo maana ilwashangaa watu kumcheka PNC wakati alipokuwa anapiga magoti... wengine wanadhani kuwa meneja kwenye muziki wa kibongo ni sawa na kuwa meneja NMB...
Toka na BCom First Class, kama hujui fitina za muziki wetu unaweza ku-fail kum-manage msanii kwa mafanikio lakini ukawa very successful kwenye ku-manage likampun likubwa kabisa!!

Juma Nature ni mjamaa halisi na kwa kifupi mpaka kesho anapiga show na wanaume halisi tatizo ambao anawabeba ndio wanamuangusha maana hawajishughulisha kabisa,alafu msimu huu muziki umelalia kwa aina fulani ya waimbaji hata hao TMK Family hawako kama kale pale Fella anabebwa na Ya Moto band sasa ivi naona music cycle imekaa vibaya kwa aina ya muziki wa akina Nature.
Ila Nature nunda hasa ukienda kwenye show anawakalisha hawa watoto mpaka utashangaa ni wachache wanamsumbua.
Nature anafanya show wapi?