Nimezama kwa mapenzi

Nimezama kwa mapenzi

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,762
Jamani nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka naiona hali yangu taabani,wenzangu nawauliza nini dawa ya mepenzi waganga nimemaliza wa makombe na hirizi ,ilahi mola muweza ataniafu mwenyezi.

Nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka,kujikwamua siwezi taabani nateseka ilahi mola mwenyezi ataniafu rabuka.nimezama mwenzenu katika kina nimebaki natizama lakutenda sina tena,Ilahi mola karima ataniafu rabbana.

Nimezama nimezama katika kina kirefu kila nikijitazama moyoni napata hofu,ilahi mola karima ndie mwenye kuniafu.nimezama nimezama kwenye bahari ya huba moyo wangu walalama unalia ,ilahi mola karima taniepushia adhabu,naiona hali yangu mimi nimedhoofika.

Nini dawa ya apenzi ?
 
Hii wimbo niliupenda sana nilipokuwa Mdogo kusema Kweli ,na Ray c mwenyewe alicopy na kupaste. Wimbo uliimbwa na Golden Star na Mwanamama Mwanahela kutoka all the way from Tanga bara bata ya kumi na NNE kama sikosei ,yaani mpaka Leo hii naupenda sana , huyu Dada anaimba sana, ana sauti nzuri, mcheshi, na mkarimu duh . Acheni Mungu aitwe Mungu pamoja , na aliyopitia lakini sikuwahi kumuona akiwa jeuri au hana Furaha, kwa Kweli Natamani angepata sindano ya Yesu duh sijui ingekuwaje. Kwa Wale mnaoishi Tanga mtakuwa mnamfahamu Mwanahela na kama hamumfahamu ,kwa Kweli hata sijui hata nisemeje, Mwanahela Mungu akubariki sana na aendelee kukutia nguvu . Asante .
 
Jamani nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka naiona hali yangu taabani,wenzangu nawauliza nini dawa ya mepenzi waganga nimemaliza wa makombe na hirizi ,ilahi mola muweza ataniafu mwenyezi.

Nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka,kujikwamua siwezi taabani nateseka ilahi mola mwenyezi ataniafu rabuka.nimezama mwenzenu katika kina nimebaki natizama lakutenda sina tena,Ilahi mola karima ataniafu rabbana.

Nimezama nimezama katika kina kirefu kila nikijitazama moyoni napata hofu,ilahi mola karima ndie mwenye kuniafu.nimezama nimezama kwenye bahari ya huba moyo wangu walalama unalia ,ilahi mola karima taniepushia adhabu,naiona hali yangu mimi nimedhoofika.

Nini dawa ya apenzi ?
Subiri kufa tu kama umezama
 
Kimekupata nini Mkuu Mwiba hadi kuhama kutoka Jukwaa la Siasa na kujichimbia huku?
Tupotupo ,ila kwenye siasa ,nipo nafuatilia kwa karibu ,nasubiri ripoti ya Escro ,na kwa vile inatishia kuanguka kwa serikali,ni bora usikilize mshindo,haina haja ya kupoteza nguvu kwa sasa. Wacha niweko huku nijifurahishie.
 
Mkuu thanks!
vp NJIWA! naweza kupata?
 
Back
Top Bottom