Basoba dugu dugu x 2

Basoba dugu dugu x 2

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
Bandugu,,nani kaimba huo wimbo wenye chorus inaimbwa ,,,basoba dugu dugu,,,,,,,,,ni wa kikongo.,,msaaada plz
 
bandugu,,nani kaimba huo wimbo wenye chorus
inaimbwa ,,,basoba dugu dugu,,,,,,,,,ni wa
kikongo.,,msaaada plz ,,nisaidieni tu.coz nimeshapost jukwaa la burudani lakn zaidi ya mwezi cjapata jibu,,nadhan hapa nitafanikiwa
 
Basoba tukutuku .... Basoba rairai by Kofi Olomide
 
Koffi na Cindy, album ni Abacadabla
 
Ni rapa maarufu Mbuta Likasu ktk moja ya rap zake zilizompatia umaarufu. sina hakika alikuwa na bendi gani ila kuna wakati alishawahi kutoka kivyake na staili yake ya uchezaji huku kaweka kitambi bandia.

Wanaojua zaidi wataongeza nyama hapo.
 
Sio bleiz bulla. Miaka ile ya 99 kuja 2000. Ana sauti kama ya kitoto vile.
 
hahahahahaha...........MOPAO MOKONZI,QUADRA KORA MAN,PAPA NA DIDI STONE........KOFFI OLOMIDE sambamba na mama CINDY LE COUER.

hahaha we jamaa bana..eti ''basoba dugudugu''!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom