Naomba tafadhal !

Naomba tafadhal !

rayman m

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
120
Reaction score
27
Wadau naomba please mwenye wimbo wa MASELE chapombe wenye jina UZA NYUMBA WEKA HESHIMA BAA. Please mwenye nao naomba aniatach hapa either audio au video. Asante kwa msaada
 
mkuu dah unataka uweke heshima nini
 
kilichokuvutia kuiquote thread ya 2013 nini, na wewe una nia ya kujenga heshima bar?

Nilikuwa naangalia comedy ya masele kugoogle nikakuta thread
 
Back
Top Bottom