Nani mkali kwenye video hii ?

Nani mkali kwenye video hii ?

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
117
Nani kamfunika mwenzake kwenye video ya "NEW FLAME" Kati ya Chris Brown na Usher Rymond? Kuimba pamoja na kucheza.
 
Usher ana copy tu kwa breez! kwa maana nyingne breez ametisha
 
Usher ana copy tu kwa breez! kwa maana nyingne breez ametisha

Mh! Usher kwenye ile verse yake naona kaitendea haki kwa stlyle yake ya kucheza. Na Usher anajua sana kucheza kuliko Chris.
 
Back
Top Bottom