Mhusika mkuu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 453
- 538
Habari zenu wadau? Naomba mwenye Audio ya huu wimbo anisaidie,nina shida nao sana,najua hapa jamvini ndo mwisho wa kila kitu,shukrani.
Lyrics zake ni hizi:
Daz Nundaz - Nitafanya Nini?
KIITIKIO
Mimi nitafanya nini sasaa!!
ndio hivyo shida ndio zimeninasaa,
sijui kipi kisa na mkasaa,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi!!
Mimi nitafanya nini sasaa!!
ndio hivyo shida ndio zimeninasaa,
sijui kipi kisa na mkasaa,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi!!
(verse 1)
aah mawazo mengi mengi yamnijaa kichwani, sielewi niachekipi niwaze ganii, nataabika natafuta maisha, kila kukicha mi napatapatashikaa, lakini haya hivyo hivyo tutafika,
ukata umenizidi, kubeba zege sio kama napenda ila imenibidi, maisha yangu jama mimi ni ya kimasikini kila ninapokwenda mimi ninapigwa pini,
sielewi nifanye nini, na maisha haya sijuwi nitawini lini, rafiki yangu jua, patna wangu mvua, vyote vinanitambua natanga na dunia, oohi yooii jamani sielewi ni ipi njia,
sometime nikifikiria sana napata kizungu zungu, naona matatizo haya yote bora nimuachie mungu, kwaajili mungu ndio anayegawa yote mafungu.
KIITIKIO
Mimi nitafanya nini sasaa!!
ndio hivyo shida ndio zimeninasaa,
sijui kipi kisa na mkasaa,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi!!
Mimi nitafanya nini sasaa!!
ndio hivyo shida ndio zimeninasaa,
sijui kipi kisa na mkasaa,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi,
hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi!!
(verse 2)
Usione mimi hivi ninavyonung'unika, ukadhani eti nimependa kutaabika, katika kundi la mafukara mimi kuhesabika ujue mwenzio mimi shida zimenifika, pesaa ni sabuni ya rooho kupinga ngeta mi wala sioni choo, kuwa jambazi mi wala sioni soo lakini mahakama umauti vinaniambia njooo, kila kutapokucha mchizi mimi nahangaika, alimradi tu chambichambi mimi kuzishika, lakini shida ndio zinazidi kumiminika, sijui ni lini mimi kuwini nitabahatika, nikiwaza kitu hiko machozi yananimwagika, natafakari napata jibu nikapige kabari, litakalotokea mbele potelea mbali, ali mradi tu nipate ugali kwa ajali
KIITIKIO
Mimi nitafanya nini sasaa!! ndio hivyo shida ndio zimeninasaa,sijui kipi kisa na mkasaa,hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi,hayaishi kunigaasi hayaishi kunigaasi!!

nitafanya nitafanya nitafanya nini saasaa x 4
(verse 3)
Kila ninapolala mchizi mimi ninaweweseka, naona kama vile eti usiku nauweka,nimeshachoka sana kulalia huo mkeka, nafanya makeke nipate kueleweka, ndio napata misuko suko kadha wa kadha, kila ninachofanya mimi kinagonga kiambaza,najaribu kutazama lakini sioni muangaza, ndio mana namaliza matatizo yangu kupitia kipaza, nadharauliwa na moto mdogo kisa utajiri, sijui ni lini nitaacha na kuvaa kandambili, madabwada sasa mwaka wa pili kwenye mwili, na shida ndio hivi zina zidi kushamili, maisha haya mimi ninaishi kwa kinyongo matatizo yameniathili hadi kwenye ubongo,sometime nafanya kazi hata ya kuosha vyombo, ali mradi tu nipate kula hayo makombo