Natafuta animated movie kama Rango

Natafuta animated movie kama Rango

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,062
Reaction score
987
Wakuu kila nikiiangalia hii movie(animated),naiona mpya kila wakati.Hakika kazi ilifanyika katika movie hii. Ombi langu kwenu marafiki,naomba kama kuna animated movie yoyote iliyo katika level ya RANGO au zaidi mzitaje ili nami pamoja na wengine tuweze kujipatia copy zetu pia.Akhsanteni.
 
1. Pussy In Boots
2. Kung Fu Panda [part 1 n 2]
3. Rio
4. Ratatoule
5. Madagascar; Europe Most Wanted
6. Despicable 2
ZENITH anza na hizo kwanza, naamini hutojuta kuziangalia.
 
Last edited by a moderator:
Hii muvi ya rango acha kabisa...mi mwenyewe huwa siichoki na kama alivyoorodhesha sembo hapo juu hizo nazo ni nzuri sana unaweza kuongezea na Lion King(zipo part 3)
 
Last edited by a moderator:
Hii muvi ya rango acha kabisa...mi mwenyewe huwa siichoki na kama alivyoorodhesha sembo hapo juu hizo nazo ni nzuri sana unaweza kuongezea na Lion King(zipo part 3)

Hizo Lion King naingia mtaani kuzitafuta.
 
Last edited by a moderator:
Pussy in Boots ni kiboko. Antonio Banderas kaitendea vema background
 
1. Pussy In Boots
2. Kung Fu Panda [part 1 n 2]
3. Rio
4. Ratatoule
5. Madagascar; Europe Most Wanted
6. Despicable 2
ZENITH anza na hizo kwanza, naamini hutojuta kuziangalia.

Shukrani mkuu, nitazifanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
Kuna ile ya "CHIWAWA" ni nzuri saana aisee!
 
1. Pussy In Boots
2. Kung Fu Panda [part 1 n 2]
3. Rio
4. Ratatoule
5. Madagascar; Europe Most Wanted
6. Despicable 2
ZENITH anza na hizo kwanza, naamini hutojuta kuziangalia.

Madagasca zote tatu zimetulia.
 
Last edited by a moderator:
Budget yake ni $135 million. Acha rango iwe nzuri. Jonny deep (rango) ameutendea haki uhusika wake
 
binafsi sijaona kama RANGO, lakini KUNG FU PANDA & PUSSY IN BOOTS ni nzuri pia
 
Back
Top Bottom