Soma zaidi hapa THE INNOVATION HOUSE Miss Tanzania Sitti Mtemvu amejivua taji la Miss Tanzania aliloshinda mwaka huu mjini Dar es Salaam baada ya kuzongwa na mashabiki kuhusu umri wake...
Only 10% of all the information we pick up when talking to someone is conveyed through words. 30% is conveyed through the emotional tone of the other persons voice, and 60% is conveyed through...
Isikie mwenyewe hapo chini. Ni bonge la ngoma, naipa 5 Mic. Big us sana Chid Benz. Ngoma imetulia kuanzia Bit hadi flow. Bongo kuna biti kali kama hizi?
Chid Benz Atoa Wimbo...
Nakapenda haka kawimbo, bt cjajua ni wasanii gani wameimba.Nimekasikia Mara mbili tatu clouds fm bt kila Mara nakuta ndo kanaisha isha au washataja details.
Wapo wawili mmoja anaimba ,sauti Nzuri...
Wadau nadhani hawa wadau wa sanaa wa Bongo Movie wana cha kujifunza angalau kidogo kutokana na baadhi ya hizi filamu ambazo kwa kiasi kikubwa zimerandana dhahiri na bayana na maisha halisi ya...
hizi ni baadhi tu ya comment toka kwa viewers.
halafu lawmaina78 yaonekana kijana wetu ana fun base kubwa sana kenya.ukitazama kwa umakini,comment nyingi ni za wakenya.
CC Geza...
Hellow wana jf alie na wimbo wa Ukivumilia mbele kweupe wa 20% naomba aniattachie hapa.Ntashukuru sana maana huo wimbo niusikiliza kwa mbali na nahitaji niusikilize kwa karibu sana.
Wakuu nitapata wapi link ya free download ya nyimbo za kwaya ya barabara ya 13 Bulyanhulu.Zipo baadhi zinapatikana tubidy.com lakini zina quality ndogo na nyingine ziko vipande,hazijakamilika...
Wengi wanahusisha Rap kwamba ni miziki ya Kihuni inayo-glorify violence na uhuni.., lakini ni ukweli usiopingika kwamba Raps ukisikiliza zina ujumbe pia na nyingine zinatoa nasaha safi kabisa kwa...
Kwa habari nilizozipata ni kuwa the lion king, Mr. Never give up, babuu, anajiandaa kulipua makitu baada ya kuwaachia wabana pua akitaka kuona uwezo wa wabwataji! You get to love this legendary...
Hii nimerefer kwa wasanii wengi wakubwa wa hiphop Marekani, wengi wao kama hawajafungwa kwa kesi za umiliki wa silaha kinyume cha sheria basi watakuwa wamehusika kwenye vurugu zilizohusisha...
Hello, everyone! Nice to meet you all. These are our free android games:
Last Guardians: it is a action single game. The world in Last Guardians is submitted by dark forces, leaving only last...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka hii Chorus bila shaka inaweza kuwa na ujumbe flani hasa hasa kutokana na minong'ono ya kuvunjika kwa ndoa yake
Waandaji wa movie wamekamilisha na kutoa trailer ya Fast and Furious 7 ambayo itatoka April 3 2015 watch here https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Skpu5HaVkOc#t=0
Ana ngoma inaitwa 'Umebadilika' amemshirikisha banana zoro, lakini jana nimesikia ngoma nyingine inaitwa '13' alowashirikisha fid q na belle9.
Kama kweli hii ngoma ni mpya, mbona interval baina...