Weusi - Gere (Remix) ft. Navio, Naaziz, King Rabbit, Collo

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,603
Reaction score
871
leo weusi wameachia remix ya gere ikiwa na wakali kibao wa Africa Mashariki.

Link hii hapa download then tupia comment

https://mkito.com/song/gere-remix-ft-collo-navio-nazizi-rabbit/9742
 
wanaimba upuuzi tu hawa weusi, bora kila mmoja alivyokuwa anaimba peke yake.
 
good music
Atleast hawabani pua, hawa act ki marekani, na hawana scandal ili kupata kiki za media
 
Sasa povu la nini.. Ndo tatizo la mnaoona gere.. Rabbit kasema ukikubali kuolewa usilale na chupi..unasubiri nini sasa kuvua.. Tulia wewe ukazwe marinda hayo boya weeee.. Mazafanta..
Duh wee chalii yangu punguza mzuka.
 
Sasa povu la nini.. Ndo tatizo la mnaoona gere.. Rabbit kasema ukikubali kuolewa usilale na chupi..unasubiri nini sasa kuvua.. Tulia wewe ukazwe marinda hayo boya weeee.. Mazafanta..

sababu wewe ushazoe kufumuliwa marinda, unafikiri kila mmoja ni mchelemchele kama punga wewe.

kwani lazima nipende nyimbo za weusi? aisiyependa weusi ndio mpenzi wa taarabu wewe fokofoko???
 
hili neno fokofoko ni rejesta ama?
 
sababu wewe ushazoe kufumuliwa marinda, unafikiri kila mmoja ni mchelemchele kama punga wewe.

kwani lazima nipende nyimbo za weusi? aisiyependa weusi ndio mpenzi wa taarabu wewe fokofoko???

We mngese kweli.. Asa kiherehere cha nini.. Unaleta genye mshindo hapa? Kama huzipendi nyimbo za Weusi si ukaushe sasa ya nn kubwabwaja utomvu malaya wewe... Utaliwa hapa mjini kunguru wewe... Usiombe uongee hivo mbele ya machalii street kama hujazilishwa mong'ooo wewe..
 
Sasa povu la nini.. Ndo tatizo la mnaoona gere.. Rabbit kasema ukikubali kuolewa usilale na chupi..unasubiri nini sasa kuvua.. Tulia wewe ukazwe marinda hayo boya weeee.. Mazafanta..

hahahahahajaf
 
yule lord eyes balaa alilolifanya humo ni hatari tupu!amennikumbusha enzi za goma lao machafuko kipindi hiko wako close na kikosi cha mizinga!.....lord eyes ana flow ya kibaba ni unga tu unampoteza!...hawa weusi mtu ambaye personally simuelewi nikki wa pili!ajikite katika management ya kundi lao ila siyo michano!wakitaka wazidi kutisha wamrudishe ibra the hustler
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom