Mwenye Album ya Reuben Kigame

Mwenye Album ya Reuben Kigame

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Naomba mwenye hii album anisaidie
 
Kama upo Arusha nenda pale stand ndogo kuna duka linauza albam za dini tuu nilinunulia ya kwangu hapo.
 
Ingia kwenye website inaitwa staffa band alaf pale juu utakuta sehem ya kuserch nyimbo andika jina lake zitakuja zote hope umepata jibu barikiwa.
 
Ingia kwenye website inaitwa staffa band alaf pale juu utakuta sehem ya kuserch nyimbo andika jina lake zitakuja zote hope umepata jibu barikiwa.

kaka nimepata naomba nisaidie nawezaje kucopy kwenye pc yangu kutoka YouTube?
 
Kama zimekuja chagua nyimbo uitakayo then kuna opt ya audio au video chini ya kila wimbo then clik opt kama n audio utadownlod like to video opt pia.
 
Back
Top Bottom