Davido ni mtu mwenye dharau sana!, hivi anatuchukuliaje sisi watanzania!?, yaani hiki kipande katlka wimbo wa my number one sikipendi,ni heri wangekifuta tu.
http://youtu.be/wg8SL3fzC0c
Ni aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), wakazi wa Sinza,
Dar...
​
Kipindi cha nyuma nilikua nadhani kila "superstar" ni "role model" hasa nilipokua nafuatilia sana habari za watu mbalimbali maarufu duniani.
Tanzania ukitaja Super Star huwezi kumwacha...
Kwa vijana wa zamani. Nazitafuta nyimbo hizi za bendi ya Orchestra Safari Sound enzi za Ndala Kasheba.
1. Mwanakwetu
2. Nifanye nini dunia hii
3. Bakambi Nkela
4. Kupenda ni upofu...
Katika miaka ya 90, hii ilikua bora kwangu,
https://www.youtube.com/watch?v=jSUSFow70no&list=RDKoz393gAwjQ&index=2
Ipi ilikua yako???
Share...
Weekend njema.
Download Into the Woods Full Movie Free
https://www.facebook.com/IntotheWoodsDownload
P.K. Full Movie Download Free
https://www.facebook.com/PKfullmovie
Habari zenu. Naomba msaada. Kuna wimbo wa zaman sana,kwa mwenye jina la wimbo tafadhali. Wimbo una maneno haya " ngebe na majivuno,umepigwa na kijana mdogo" sjui ni atomic jazz au nan hawa.
Stori: Shani Ramadhani
STAA Jacqueline Wolper Massawe, ambaye ni muigizaji mahiri wa filamu, amewapiku nyota wenzake wa tasnia hiyo baada ya kufanya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Jumamosi...
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.
Ukarimu wako (Bwana), na...
Only days after they were voted this years Best African Act at the MTV Europe Music Awards, Kenyan boy group Sauti Sol have been announced top royalty earners in a statement released by the...
Kiukweli ukiusikiliza huu wimbo ni fundisho tosha kwa maisha ya sasa hasa viongozi wetu. Nenda waptrick , search kisha download halafu sikiliza tenzi za huyu jamaa yaani utafikiri hawa viongozi...
Mnamo mwaka 1993. Mwanamuziki kutoka DRC , Aurlus Mabele, na bendi yake ya LOKETO, walitoa wimbo ujulikanao kama EVELYNE.." Baadhi ya maneno yanayo patikana katika wimbo huo...
Nimehangaika kwa muda mrefu kuzisaka nyimbo za omary kopa mtandaoni ila sijafanikiwa kudownload hata moja kwani natumia simu,naomba mwenye link ya direct download au aliyenazo azishare hapa...
Habari zenu,, naitwa jayffa ni msanii wabongo flaver!! Nahitaji mtu atakaye weza kunipa support ili niweze kuinuka kimuzki unaweza kunipata 0758082840 ili tuweze kusaidian