Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Tigo wamezindua tamasha la kiboko yao litakalofanyika tar 24 Mwezi huu pale Leaders club.
Diamond, ally kiba,Fa,Fid Q na wengineo watakuwa hapo.
Mliopo huko nendeni,mtakaoenda kuzomea au kuburudika kazi kwenu.
Kiingilio ni laki moja ila mmelipiwa tayari na TIGO.
DC
Namtumbo, Ruvuma,Tanganyika.