Free style Battle thread

Free style Battle thread

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
We member shusha mistari...Tukuone ndan ya jukwaa,

Hip_hop shibe ya ugali.....kivipi ulie njaa?

ebu onyesha umahiri......fanya verc kuziachia.
 
MCS wanafake hadi kuongea, fataki wamegwaya mechi wameona skirt zinapepea, snitch nikiwa sipo ogea ila nikiwepo nitakupiga kifo chamende bila hata ya kukuchezea lol (msodoki)

Cc MO11 pitia hapa, shusha mistari
 
Last edited by a moderator:
Nashushia kamkojo ,pembeni supu ya mamba

sina usharo navaa midosho sinyuki pamba/
mzuri kama demu wako cheki ulivyoni bamba/
usishangae nitakuficha kama nimekufunga kamba/
natamba kwa demu wako zaidi ya sultani Tamba/
mwambie dada ako asishoboke nitakuja kumto***/

cc Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
sina usharo navaa midosho sinyuki pamba/
mzuri kama demu wako cheki ulivyoni bamba/
usishangae nitakuficha kama nimekufunga kamba/
natamba kwa demu wako zaidi ya sultani Tamba/
mwambie dada ako asishoboke nitakuja kumto***/

cc Mafikizolo

Mkuu hapo mwisho .... Hayo maneno ulotumia hadi aibu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo mwisho .... Hayo maneno ulotumia hadi aibu

dada mi mswazi sijajifunza ustaarabu/
sina muda wa mafumbo ya taarabu/
kama utamind itakua bila sababu/
nimekulia kwenye dhiki na tabu/
sijali ukiniita sina adabu/
 
dada mi mswazi sijajifunza ustaarabu/
sina muda wa mafumbo ya taarabu/
kama utamind itakua bila sababu/
nimekulia kwenye dhiki na tabu/
sijali ukiniita sina adabu/

Hahaaa haya tuendelee mi natoa maksi
 
sina usharo navaa midosho sinyuki pamba/
mzuri kama demu wako cheki ulivyoni bamba/
usishangae nitakuficha kama nimekufunga kamba/
natamba kwa demu wako zaidi ya sultani Tamba/
mwambie dada ako asishoboke nitakuja kumto***/

cc Mafikizolo
Umetiashaa jombaa haya tuflow sasa,nakuona unamidevu kama ya mwisho mwampamba, UKija ghetto kwangu nitakupamba, naulivyo nyuka pamba utazidi kunibamba,maana unambavu kama bodyguard wa makamba
Cc MO11
 
Last edited by a moderator:
Umetiashaa jombaa haya tuflow sasa,nakuona unamidevu kama ya mwisho mwampamba, UKija ghetto kwangu nitakupamba, naulivyo nyuka pamba utazidi kunibamba,maana unambavu kama bodyguard wa makamba
Cc MO11

ghetto gani ghetto lenyewe la kishamba/
kuanzia godoro hadi mashuka ni ya mtumba/
ghetto lipo porini huko mnapaita kibamba/
acha fiksi huwezi nifunga kamba/
 
Last edited by a moderator:
*Ndondondo si chururu, bila uhuru hakuna uhondo,
*shombo ya kunguru, haina harufu ya kimombo,
*Bongo joto ka' tanuru, kufuru za wenye bingo,
*skendo msururu, eti lulu kama lupita nyongo.
 
Hapa naangalia tu sina ujanja

Kweli we ni mshamba
Ndo mana umkiri kuwa huna ujanja/kazi kukodoa mimacho kama unataka kujamba/ au hujachamba
Ila so tatizo naopmba namba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ghetto gani ghetto lenyewe la kishamba/
kuanzia godoro hadi mashuka ni ya mtumba/
ghetto lipo porini huko mnapaita kibamba/
acha fiksi huwezi nifunga kamba/

Dude mbn mnarhyme kibishoo
Boko haram nimefika mkanga sumu nakaba koo
Hapa flow tamu kama uvinza maujanja yanapitiliza kama kariakoo
Wananiita gwiji kachaa kichaa cha mistari mirembe ya mayoyoo
 
Kweli we ni mshamba
Ndo mana umkiri kuwa huna ujanja/kazi kukodoa mimacho kama unataka kujamba/ au hujachamba
Ila so tatizo naopmba namba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hahahaaaa ukorofi huo NEUTRAL
 
Last edited by a moderator:
Dude mbn mnarhyme kibishoo
Boko haram nimefika mkanga sumu nakaba koo
Hapa flow tamu kama uvinza maujanja yanapitiliza kama kariakoo
Wananiita gwiji kachaa kichaa cha mistari mirembe ya mayoyoo

forum ya jamii kweli kubwa hakyanani/
hadi mzungu kichaa amenifuata siamini/
nashangaa kajibadili jina anajiita gwijimimi/
aisee hebu weka picha yako inaonekana umevaa mini/
 
Back
Top Bottom