Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,150
Wakuu bila shaka naufahamu wimbo USIZI uliopigwa na The Slaves. wengi wanadhani wimbo huu uliimbwa na Lucky Dube, lakini ukweli ni kwamba aliyeimba ni Thetukani Cele. Luky Dube alikuwa member tu wa hiyo bendi. Kuna rafiki aliniambia wimbo unasema kwamba watoto wanalala njaa sababu baba na mama wamefukuzwa kazi. Kama kuna mwana JF ana lyrics wa huu wimbo au tafsiri yake apost humu ndani. maana kwenye google sijapata chochote. Pia anayejua maana ya wimbo Papa Bakoye wa Alpha Blondy amwage hapa maana yake