Tofautisha kati ya ! na i
Marlaw, makosa ya kiuandishi naamini umenisoma mkuu twende kwenye mada
Jamani wacheni utani, nimekatiza mitaa fulani hivi hapa Kimara, nikausikia wimbo wa malaw "pipii" ikabidi nisimame niusikilize nikajikuta napagawa nafuatisha ile mistari dah! Namkubali kichizi
Yuko wapi huyu jamaa lakini na mpango wake katika game he!?
Tofautisha kati ya ! na i
Mmmmh!
ndio style yake hiyo, zoea tu.Sio mwenyeji sana
(JaMAa aMeisHaaa si AlijIfAnya mJanjA kuwAfanyiA mAgaMba kAmpeNi kipindi Ile yA haNdsOmE boy aKigOmbEa.
SaiV ni sHiDAaaaqqqq!...)
Tunatumia nguvu nyingi kusoma, sijui ni kifaa alichutumia kuandikia au tu ujeuri....siku hizi nachagua kusoma,nikiona tu fulani kaandika....naacha!