loyalty
Member
- Jan 30, 2012
- 30
- 15
Nilikuwa naangalia jana Show ya Sporah, nikahuzunika sana jinsi ambavyo madawa ya kulevya yanaweza kuharibu maisha ya mtu na kumzibia nafasi mbalimbali. Hili ninasema bila kum-judge mtu. Tufunguke vijana, tusidumbukie kwenye starehe za ujana ambazo hazina manufaa kwa maisha yetu ya mbele.
Last edited by a moderator: