Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mimi naona hili ni tatizo sana kwetu unakuta msanii anaigiza kitu ambacho kwa kweli hakijatendea uhalisia wa hiyo subject/situation anayoiimbia haki kabisa na kuondoa ile dhamira ya sanaa ya Video...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
if it doesnot ring a bell in ur nut pliz pita hivi :flock: soma kwanza ndo ukomenti kuna vipele hta havijasoma vinakimbilia kukoment pumba. "The 4th Branch" by IMMORTAL TECHNIQUE...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
haya wadau,mwaka ndo umeanza na mamuvi yashaanza kutolewa, hebu tupieni hapo movies ili wale wapenzi wa movie kama mimi waweze kufaidi, kiukweli mimi huwa napata ari ya kudownload movie kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika Kipindi chake cha Diary of Lady Jay Dee Mwanamuziki Huyo Maarufu ameonekana akiwa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi Ambae alikuwa anamtabiria Mambo mbali mbali ya maisha yake katika mwaka huu...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Tupia movie kali za kusisimua za mwaka 2014 ambazo hauta zisahau na pia na kwako unaona ni best movie kwa mwaka 2014 angalau tano tu siyo za kibongo za mbele
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua km kundi hili la mziki wa kizazi kipya km bado wapo dunia hii
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimekutana na hii kitu wadau. Tamthilia ya MAPANKI inakuja mtandaoni na inaonekana itakuwa bab kubwa! Promo yao iko Youtube: http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA Na taarifa zaidi ziko MAPANKI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona umetulia.Tanzania kukubalika kimuziki ni rahisi kuliko kukubalika kifilamu.Muziki unachangia pato na utajiri wa nchi kwa kiasi kikubwa.Muziki unaitambulisha nchi kwa haraka.Ukisikiliza wimbo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya habari ya kushtua ya msanii wa Hip hop NIKKI MBISHI,kutangaza kuacha MUZIKI. Leo nakuletea baadhi ya mistari ambayo msanii mwenzake wa hip hop ambaye kwa kiasi kikubwa alimu_Inspire ni...
2 Reactions
20 Replies
10K Views
Top Nollywood Actor, Muna Obiekwe Dies Of Kidney Failure Popular Nollywood actor, Muna Obiekwe has passed away after a battle with Kidney failure. The Trent exclusively reports that the actor...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeiona iko poa sana! Its a kind of a Romantic comedy Stars: Craig Robinson, Kerry Washington, David Alan Grier Sparks fly when Wade Walker crashes the Peeples...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aisee nawapa tano kwa kweli mmenifanya nikumbuke enzi za milambo boys dah nyie watu nyie hatari music za zamani bongo flava nawakubali sana cku hizi ni mapenzi tu kila anaeimba
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila Mmoja Hapo Katoa Kipande Cha Shairi Lake Kwa Wewe Unaona Yupi Katoa Kijembe Kikubwa Kumzidi Mwenzie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia jana Show ya Sporah, nikahuzunika sana jinsi ambavyo madawa ya kulevya yanaweza kuharibu maisha ya mtu na kumzibia nafasi mbalimbali. Hili ninasema bila kum-judge mtu. Tufunguke...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Hakika kwe ngoma ya Kalla Pina alomshirikisha Dimpoz mchizi kalegea sana.Zile mishe zake za kukaza ka pindi ile hakuna,dizaini kama vile alikuwa anabana pua ili asifichwe na Dimpo. Kweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika harakati za kufatilia kinachoendelea Hollywood Marekani, nimegundua kuwa Mastaa wengi katika tasnia za filamu na muziki wamekua sehemu ya maisha yetu hasa kwa vijana waliopo katika mashule...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tigo wamezindua tamasha la kiboko yao litakalofanyika tar 24 Mwezi huu pale Leaders club. Diamond, ally kiba,Fa,Fid Q na wengineo watakuwa hapo. Mliopo huko nendeni,mtakaoenda kuzomea au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
We member shusha mistari...Tukuone ndan ya jukwaa, Hip_hop shibe ya ugali.....kivipi ulie njaa? ebu onyesha umahiri......fanya verc kuziachia.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Lupita continues her red carpet reign in stunning floral gown at Golden Globes She became a style icon after consistently hitting it out of the park during last year's award season. And last...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni jambo lililowazi kwa wafuatiliaji wa muziki wa bongo fleva kuwa kwa sasa wasanii Ally kiba na Diamond wameingia kwenye ushindani mkubwa. Kiasi kwamba Clouds fm na East africa Radio wameingia...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…