Airtel Trace music -Tanzania Juu

Airtel Trace music -Tanzania Juu

kdc

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
637
Reaction score
200
Mayunga From Tanzania ashinda Airtel Trace Music Star Africa Mbele ya Jaji Akon.Akon amwagia Sifa nyingi sana.Apatashavu la kufanya kazi na Akon.
 
Akon ni msanii wa kutupwa, alipokuja East Africa kwenye show nadhani ni Kenya kama sikosei akamuahidi bwamdogo mmoja mbele ya stage kuwa atamchukua na kwenda kufanya nae kazi hadi leo waaapi
 
Back
Top Bottom