Ile mtu ni ya ajabu sana, kwangu mimi yule ndio aliinogeza ile series. Aliniacha hoi alipojikata mkono.T.bag ni mtukutu aliyeshindikana
T.bag ni mtukutu aliyeshindikana
"Huyu T-bag wa prison break ndie mtu aliyeshindikana zaidi kwenye filamu hii
hakuna mission iliyomshinda
visa alivyofanya kwenye prison break ni nuksi nilikua nampenda kuliko watu wote
Ngoja niitafute hiyo viking.Kaka naomba uitafute hii vikings kwanza afu utaniambia, ni balaa