Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu,
Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana...
Kubali ukatae lakini huo ndo ukweli watoto wa oysterbay, masaki na mitaa ya kizungu mikoa mbalimbali wanaofuatilia hii aina ya mziki wachache sana.
Hiphop ina mashabiki wengi sana usipinge...
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo".
Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene...
Hi wanajamii,
natafuta mwanamziki anaeimba peke yake let say na kinanda.mic peke yake aje kutumbuiza kwenye small birthday party, ajue kuimba nyimbo mbali mbali nk, mfano hawa ambao huwa wanaoimba...
Leo ndio kumekucha tuzo za watu zinaendelea usiku huu
Haya mwagikeni nani na nani wamechukua tuzo
Sio mbaya kusifia vile vilivyowapa tuzo hizo pia, ili watu tusiojua tuzijue kama ni movie taja...
This is purely feminine and has never felt fresher. Go floral this summer with abstract, minute beautiful prints.....
For more: Your look for summer 2015
Habari zenu wakuu...
naomba kusaidiwa Link ambayo nitaweza kupata English Subtitles za Series inayoitwa ARROWS ON THE BOWSTRING-season 1..ni ya muda kidogo kwa anayeweza kunisaidia tafadhali.
JE, NI KWELI BONGO MOVIE INAKUA?
Nianze kwa kusema nimekuwa mdau wa bongo movie kwa mda mrefu sasa, tangu enzi za shamba kubwa, nsyuka nk. Hivyo nimeona ni vyema na mimi leo nikatoa yangu ya...
Je? ni movie gani ambayo ushawai kuangalia na ilikusabisha ukalia kwa kutoa machozi kabisa,
for me, THE FOULT IN OUR STARS which been directed by josh boone,
the foult in our stars, that...
Indoor activities that will keep toddler and you happy and active.Indoor activities for kids are a fun way to spend a rainy. Thease games build your toddler creative and smarter. Gravity Force is...
Baba yake alikuwa mkoloni kipindi huyu Miss mwali
Mchonga alikata utepe lakini hakuvinjari
Sababu alikua busy kumlinda na geti kali
Kumbe wenzake wanabinjuka, kushtuka akakaa mbali
Demu alikua na...
salam wapendwa!
natamani kumfahamu zaidi mtailand wengi humuita home back mzee wa vipepsi, anaenikosha sana kwa mapigo yake. naskia aliuliwa, baada ya kugoma kuchezea picha zake hollywood sina...
wana jf,, i am 21 years old. nadhaamni sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekana ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda...
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu
wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe
SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO,
TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please!
shukrani
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za kihindi na kiarabu tuburidike hapa...
donlucchese utafiti Mrs Kharusy Angel Nylon Zamiluni Zamiluni MziziMkavu life is Short kabanga
salaam!!
Nimeona nililete hili wazo kwenu nikiwa kama msanii kwa kuona upeo mkubwa wa wanajamii wakushauri na kukosoa pia,. imekaa poa sana hii!
ni biashara ya mziki, wasanii wengi east...
Msanii na mwalimu wa muziki wa Hip Hop wa kipindi cha Ujamaa Hip Hop Darasa, Fid Q ameachia audio ya wimbo wake Bendera ya chuma aliomshirikisha Ben Pol ikiwa ni wiki sasa tangu asikike katika...