Nina utajiri mkubwa lakini bado masikini

Jackmedia

Member
Apr 19, 2015
81
26
wana jf,, i am 21 years old. nadhaamni sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekana ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda sichangamkii fursa sielewi,,
hadi sasa nimeandika tamthilia,filam karibu tano za uhakika kwakua najua vtu vzr lakini sielewi ni lini zitakua into real thing, ninauwezo wa kudesign covers kutengeneza computer na kudeal na internet za cm kikubwa ni sanaa iliyo ndani yangu kwa ujumla i hve 5 songs already internetional ila naskiliza getto nina ipenda technologia nakujifunza sana but maisha yangu yako palepale kila ninaposherehekea mwaka mpya,, elimu yangu certificate IT. Mbona huu utajiri haunisaidii msaada,
 
wana jf,, i have 21 years old. nadhani sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekanga ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda sichangamkii fursa sielewi,,
hadi sasa nimeandika tamthilia,filam karibu tano za uhakika kwakua najua vtu vzr lakini sielewi ni lini zitakua into real thing, ninauwezo wa kudesign covers kutengeneza computer na kudeal na internet za cm kikubwa ni sanaa iliyo ndani yangu kwa ujumla i hve 5 songs already internetional ila naskiliza getto nina ipenda techonologia nakujifunza sana but maisha yangu yako palepale kila ninaposherehekea mwaka mpya,, elimu yangu certificate IT. Mbona huu utajiri haunisaidii msaada,
Labda hauna network ya kutosha, au network yako si nzuri!
Jaribu kuifanyia kazi kwa kukuza network yako na watu sahihi!
Pia turekebishane kidogo hii lugha ya watu:
nafikiri kuwa sahihi zaidi ni: I am 21 years old!
 
hebu weka mojawapo ya nyimbo hapa tuone level yako ya kimataifa na ubunifu wako.
 
wana jf,, i am 21 years old. nadhaamni sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekana ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda sichangamkii fursa sielewi,,
hadi sasa nimeandika tamthilia,filam karibu tano za uhakika kwakua najua vtu vzr lakini sielewi ni lini zitakua into real thing, ninauwezo wa kudesign covers kutengeneza computer na kudeal na internet za cm kikubwa ni sanaa iliyo ndani yangu kwa ujumla i hve 5 songs already internetional ila naskiliza getto nina ipenda technologia nakujifunza sana but maisha yangu yako palepale kila ninaposherehekea mwaka mpya,, elimu yangu certificate IT. Mbona huu utajiri haunisaidii msaada,

ingari,cm,hve,vtu, vzr. Kwa uandishi huu , sijui labda jaribu kujirekebisha.
 
Jitahidi kutangaza kazi zako ili jamii ione unachofanya na kama kuna kasoro ili uweze kurekebiswa au kukosolewa,sasa chalii angu masong yako mwenyewe den unasikilizia ghetto kweli utatoka kweli? au unatuletea sinema za Shilole ilove u Tanzania..........? Tumia fursa uliyonayo kuendeleza ndoto zako na maisha yako ya baadae
 
Commercialize them...

Mavoko+Town+Hall+bw.jpg
 
Jitahidi kutangaza kazi zako ili jamii ione unachofanya na kama kuna kasoro ili uweze kurekebiswa au kukosolewa,sasa chalii angu masong yako mwenyewe den unasikilizia ghetto kweli utatoka kweli? au unatuletea sinema za Shilole ilove u Tanzania..........? Tumia fursa uliyonayo kuendeleza ndoto zako na maisha yako ya baadae

nikweli wacha nianze sasa kujitangaza nakujipa mwaka mmoja wa mapambano,, pia ukitaka kuziskia baadhi ya track cheki na mimi inbox(PM)
 
wana jf,, i am 21 years old. nadhaamni sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekana ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda sichangamkii fursa sielewi,,
hadi sasa nimeandika tamthilia,filam karibu tano za uhakika kwakua najua vtu vzr lakini sielewi ni lini zitakua into real thing, ninauwezo wa kudesign covers kutengeneza computer na kudeal na internet za cm kikubwa ni sanaa iliyo ndani yangu kwa ujumla i hve 5 songs already internetional ila naskiliza getto nina ipenda technologia nakujifunza sana but maisha yangu yako palepale kila ninaposherehekea mwaka mpya,, elimu yangu certificate IT. Mbona huu utajiri haunisaidii msaada,
I am not discouraging but you but rather to give you changamoto so that you can work harder! Watu wengi wanao-claim kujua kuandika script, hawajui! Binafsi nimeshawahi kupitia scripts za watu wanne tofauti ambao tayari wapo kwenye game... Bongo bado sana tena sana! Sasa hao tayari wapo kwenye game na asikudanganye mtu, ukisikia watu wanaziponda filamu zetu ni kwa sababu bado script zetu ni mbaya mno! Kwenye kuandika, wengi formatting inawashinda na wala hawatofautishi uandishi as a screenwriter or director coz' ni very common kukuta mtu amejaza technical descriptions kibao kwenye script sasa sijui Director atafanya kazi gani! Ukija kwenye story structure, nako ni matatizo matupu!

Anyway, kama kweli unajiamini you're so good kwenye hilo eneo then WELL & GOOD lakini basing on my experience, I'd advice you should learn even more! Likewise, soon next month huenda nikatoa FREE Online Screenwriting Class. Unless kama kweli unaamini upo fit otherwise, ningekushauri kama nitatoa hilo darsa basi usilikose!
 
Ongeza elimu kidogo unamiaka mingi bdo mapema sana kukata tamaa.

ni kweli wacha nifanye maamuzi!! kilichopelekea mimi kushusha uzi huu ni baada ya mama kuniambia hajaona nikitumia utajiri wangu wangu popote hadi sasa (anajua uwezo wangu wa kisanii) na kunisih nifanye jambo ili uwezo wangu ucpotee bure, thats why nikaona nipate njia mbili tatu kutoka kwa wanajamii cz naamini sana mawazo yao.
 
Back
Top Bottom