New bollywood and arabic songs 2013 & 2014

New bollywood and arabic songs 2013 & 2014

Tafuteni hii tu hi tuu kutoka katika film ya kick ya salman khan bonge la song
 
Nilipokuwa mdogo nilipenda sana movies za kihindi. Nilisoma document moja last week inawataja waigizaji 10 bora kwa utajiri duniani, na Bollywood imetoa wawili. Mmoja ni Salman Khan na anashika na. 9, ila ni mtu mtukutu sana & ana skendo nyingi. Mwingine ni Shahrukh Khan anayeshika na. 1 , huyu kijana wanamsifia kwa nidhamu yake na utu wake japokuwa ana pesa nyingi. Asilimia kubwa ya pesa zake anapeleka kwa mashirika ya kitaifa na kimataifa km; Unicef. Niliipenda sana movie yake "Koyla" na nyimbo zake bila kusahau "Devdas" iliyompatia tuzo nyingi sana, ikiwemo ya "Life time achievement."
 
Last edited by a moderator:
Naipenda nyimbo ya LET IT BE (desi boyz), na all songs of SRK movies
 
Nzuri zile sana atif aslam ana sauti nzuri kweli..

Shahid kapoor kaitendea haki ile movie na style yake ya kucheza katika nyimbo ya "tu mere agal pagal hai" naipenda thana
 
Nisaidie links ya kupata zile songs kali za kihindi/arab. Kuna jamaa niliishi nae room moja kipindi hicho hostel alikuwa nazo kibao. Huwa zinagusa hisia namna fulani hivi. Naomba hata majina nizidownload. Nataka zile kali na maarufu hata km ni za zamani, sizikumbuki majina.
 
Download humu za kihindi bossmobi.com

Michezo ya zawani mizuri

Kuch kuch hota hai

Chori chori chupke chupke

Mohabatein

Mujhse doste karoge

Action movies

1)don 2

2)race 2

3)don 3

4)players

5)ek the tiger
 
Back
Top Bottom