historia ya mtailand aliecheza HOME BACK,.

historia ya mtailand aliecheza HOME BACK,.

Jackmedia

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
81
Reaction score
26
salam wapendwa!
natamani kumfahamu zaidi mtailand wengi humuita home back mzee wa vipepsi, anaenikosha sana kwa mapigo yake. naskia aliuliwa, baada ya kugoma kuchezea picha zake hollywood sina uhakika anaefahamu nipo makini nasubiri ajimwage,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom