Tuzo za watu 2015

Tuzo za watu 2015

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,626
Leo ndio kumekucha tuzo za watu zinaendelea usiku huu

Haya mwagikeni nani na nani wamechukua tuzo

Sio mbaya kusifia vile vilivyowapa tuzo hizo pia, ili watu tusiojua tuzijue kama ni movie taja, kama ni mwimbo, kama ni kipindi cha redio na kadhalika

Pia si ndio hizi tuzo zilisema kwa yale yaliyofanyika ndani ya 2014 kama sijakosea haya twendeni na mwaka 2014. Kama nimekosea sio zilisema kazi za 2014 nita edit.

Hongera kwa wote waliopata tuzo za watu 2015.
 
vipi salim kikeke kachukua?? maana nilimpigia kura
 
Back
Top Bottom