Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter.
Nisaidieni
Natanguliza shukrani kwa niaba yake
Jamani, Ben Pol can sing.
Yani anasisimua sana na kipaji chake. Aliwahi kusema kati ya simu kumi anazopokea, nane ni za kuombwa kupiga chorus. Hao watu wanaona anavyoimba vizuri ndo maana...
Toka ajiite mwamba wa kaskazini, toka aseme hayupo next level Bali level yake mwenyewe....Joh Makini amekuwa akipanda siku baada ya Siku. Na siri kubwa ninayo iona Kwa Hawa weusi ni kwamba...
Jana nilikua mmoja kati ya Watanzania wachache tuliopata mualiko wa kuhudhuria ugawaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards. Kwanza niwapongeze Organization nzima ya KTMA wakishirikiana na...
read the full article here https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/868639-diamond-platnumz-assists-fellow-tanzanian-artists-to-the-next-level.html
The King Ally Kiba fans' special thread,
Tujumuike hapa (11,191) »( ... Last Page)
Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni
tukutane hapa (4,735) »( ... Last Page)
hata kwa hili...
Msanii wa stand up comedy wa Uganda ameamua kuhamasisha vijana kujiandikisha kuweza kupiga kura 2016.
http://www.youtube.com/watch?v=svczp7WH9V0&sns=em
Huyu jamaa ni kiboko na ni mbunifu asiye na mpinzani na kanivutia mpaka siku hz nahudhulia kanisani kila juma pili kutokana na ubunifu wake wa kupiga kinanda kwa kutumia tune za za makabila na...
Habari wanajamvi,
Nimeguswa mno na hii hali ya utimu inayoendelea.
Nini chimbuko la hizi teams?
Nani ni mchochezi kati ya wahusika na mashabiki?
Wahusika wamewahi toa tamko lolote kuhusu...
These kids are the real deal.
Since the release of 'Yamoto' (their best tune to date, in my opinion) they have consistently raised their game up in all facets of their music - composition...
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate)
Kuna...
#Repost
Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:
"Ikiwa MOE MUSIC...
Kweli Mungu akisema ndiyo hapana wa kusema Hapana.
Hili ni somo kwa jirani zetu #TeamJuiceMalimao .
Hiyo ni Texas usiku wa leo, ni live show bila cd sio kama yule msanii wa kimataifa...
Usiku wa jana, Juni 13,2015 hapa nchini ulishuhudiwa utoaji wa tuzo mbali mbali kwa wasanii wetu hapa nchini. Ningependa kuwasifu KTMA na BASATA kwa uwezo wao wa kujaji nani apewe tuzo fulani...