nataka kwenda ledger plaza au kama ramada hivi au double tree ila sijui bei ya kiingilio

bestest

Member
Mar 8, 2013
67
8
Nnaplan ya kwenda swimming sehemu nzuriiiii kama ramada au ledger plaza au double tree sitaki coco nilizozoea nikabarizi na mdada flani hivi ila sitaki nifike pale nitoe macho kiingilio, kwani shilingi ngapi etii !
 
Hii sasa ni kazi labda ungetaja pesa uliyonayo ingesaidia zaidi.

Ila kwani lazima umpeleke huko, kuwa wewe ni furaha zaidi nenda unakoweza.

Pia hoteli nyingi ni mlo na kinywaji ndio bei ya juu usisahau juu ya hayo n.k.
 
Unauliza kiingilia bei ya kugharamia nyapu utaiweza kwenye hizo hotel?Ramada 40,000 * 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom