Reggae Musik

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,325
Naona musik huu umedorora sana hapa nchini umepatwa na nini jamani mbona huku kitaa hatusikii tatizo nini?
 
Busy signal kaja Zimbabwe na Malawi juz juz tu Tz ni km hatuna
Mzuka kabisa.

Live long Vybz Cartel, atte!
 
Mmmmh kuhxu dube yule ni only one left in jah creation kwny raggae xema wat weng hawalew ukitaka uamn down load luck dube music ambazo ni remember me,ragge strong,prisoner,togeher as one then tafutia maana utajua duh huyu ni noumah
 
Umesoma kiasi gani?
 
Natafuta nyimbo za marehemu JUSTIN KALIKAWE...Mwana raggae aliyenikosha sn..."tugende owaitu" katonda kalimpa ekyondikwenda tindizongazonga mumahanga"
___akiimanisha___" twende nyumbani, mwenyezi mungu akinipa nikitafutacho mjini, sitakawia..nitarudi nyumbani" miaka ya 90 alikuwa akitimbuiza km dj ktk club ...iliyoko posta..mwl.wa soka la watoto nchini marekani mr KAJUMLO anamkumbaka sn"
 
Back
Top Bottom