Diamond bwana!!! Nipatieni toothpick nijichokonoe !!!

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,114
1,358
Kama mjuavyo hasa kwa wakazi was dar!
Jana huyu kijana kadondosha show ya maana kabisa kuwahi kutokea,.... ningekuwa nimemaliza kula nyama ningeomba kijiti cha kujichokonolea.
Jamaa yupo vizuri, msaga sumu naye hakuwa haba.
Asanteni kwa wote mlioshindwa kukaa kwa kutafuta namna nzuri ya kumuona mkali huyu wa Afrika.
Ngoja tusubira mchekecho escape one.
 
Let ze musician be the musician and music be ze music.....maisha lazima yaendelee ni sauti tu nazosikia
 
Tatizo kaoa msimbe, kinu chenye kina kirefu kama Ziwa tanganyika. With all those money anahangaika na scraps?

bnadam mwenzio unamuita scraper? turudi kwenye shoo kiukwel alitumbuiza vya kutosha.
 
Kama mjuavyo hasa kwa wakazi was dar!
Jana huyu kijana kadondosha show ya maana kabisa kuwahi kutokea,.... ningekuwa nimemaliza kula nyama ningeomba kijiti cha kujichokonolea.
Jamaa yupo vizuri, msaga sumu naye hakuwa haba.
Asanteni kwa wote mlioshindwa kukaa kwa kutafuta namna nzuri ya kumuona mkali huyu wa Afrika.
Ngoja tusubira mchekecho escape one.
Kiukweli kijana anastahili pongezi.
 
Tatizo kaoa msimbe, kinu chenye kina kirefu kama Ziwa tanganyika. With all those money anahangaika na scraps?

Huwezi kujua huyo msimbe anampaisha kiasi gani, mapenzi ni siri ya wawili usisikie, mbona amewaacha mabinti amekwenda huko?
 
Mapenz n ya wawili na wao ndo wanajua n kitu gan wanapata, mbona t.I kamuoa mwanamke anaemzid umri na siku c nying wana tegemea kupata mtoto wa saba…. Mapenz nyie yaachen yaitwe mapenz tu
 
Tatizo kaoa msimbe, kinu chenye kina kirefu kama Ziwa tanganyika. With all those money anahangaika na scraps?

Hayo ni mambo yake binafsi na kwakufanya hivyo ndivyo anapata faraja moyoni (yeye), hafanyi hivyo kufurahisha wengine. Kila mtu ana radha ya mtu ampendae whether ni scrap or whatever
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom