Ni wasanii wengi wameimba kuhusu Mama ndani na nje ya nchi, kibongobongo hizi nyimbo 2 za Mama ndizo zilizofanya/zilizowahi kufanya vizuri zaidi na zimetoka katika nyakati tofauti, je ni upi...
Habari wana jf!
Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana.
Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
Msanii alikiba akihojiwa juu ya kufanya kolabo na Daimond na majibu yake.
kwa kweli inatia moyo kidogo. Najua one day bonge la ngoma litashushwa na history itaandikwa kama ikitokea Chib na Kiba...
TCRA imetoa taarifu kwenye mtandao wa twitter wakati ikijaribu kumuelewesha AY na mashabiki wenye dukuduku kuhusu uamuzi huo. Awali uamuzi wa TCRA ulitafsiliwa kuwa video hiyo yenye views...
Huu wimbo wa Beka Ibrozama kwa kweli ni wa "level" nyingine,unasikilizwa na kupigwa hata katika kumbi kubwa za miziki nje ya nchi.Juzi nilikuwa sehemu ukapigwa watu wengi walidhani itakuwa ni...
Wadau,
Nimekuwa nikiutafuta wimbo niupendao sana Mapenzi ya Siri, ulioimbwa na mmoja wa waimbaji mahiri sana Hussein Jumbe. Tafadhali kama unao wimbo huu nitupie hapa na utakuwa umenisaidia sana...
Dakika na Sekunde yoyote kuanzia sasa Kijana Mtanzania ambaye hajawahi kutuangusha kimuziki atadondosha Video yake mpya aliyomshirikisha Msanii kutoka South Africa, AKA ambaye ndiye rapper bora...
Zigo ‘remix’ (AY ft Diamond) yafungiwa, AY afunguka.
Video ya Wimbo wa Zigo "remix" ulioimbwa na AY akimshirikisha Diamond Platnumz imepigwa marufuku kupigwa katika vituo vya televisheni.Uamuzi...
Najua mtakapoona kichwa cha thread mtashangaa kulikoni tena WoS!
Ndio hivyo tena. Wikiendi ndo inanukianukia.. Hebu nianze kuangalia viwanja gani vinafaa kwenda kutembelea ili kupunguza msongo na...
Wakuu Heshima kwenu!!
Mimi ni mpenzi sana tena "kindaki ndaki" wa mieleka ya kimarekani hususani WWE na TNA.
Kwangu nina king'amuzi cha DSTV na humo kuna channel 250 ( e - Africa). Hawa wakati...
Jamani kwa mwenye hizi nyimbo mbili za taifa letu pendwa Tanzania naomba aniwekee.
-Ya kwanza ni hii, Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote.
-Ya pili ni hii, Tazama Ramani
Msaada wenu wakuu!
Tuzo za Grammy zinaheshimika sana nchini Marekani. Host wa show alikua mzee mzima mwenyewe, L. Cool J. Walioshinda ni wengi kdogo na category ni nyingi kidogo ila hapa nimejaribu kuwaweka wale...
Wakuu nashukuru kibao cha Maya nimekipata......tuendelee na burudani....kuna mtu mwenye kibao cha Tulizaliwa sote kilichopigwa na Hamza Kalala atupostie tupate burudani zaidi.....nilikuwa nacho...
TIMES FM RADIO on Fri, 02/19/2016
Rais John Magufuli ametangaza neema kwa wasanii ikiwemo kuamuru Mamlaka ya Mapato (TRA) kufanya operesheni maalumu dhidi ya kazi za wasanii za nje ya nchi...
Wakati wengine wanawaza ngoma zao kupigwa Chanell O na Trace ambazo kimsingi ni maalum kwa ajili ya burudani habari ni kwamba Ngoma Lupela ya King Kiba imepigwa kwenye Chanel ya CCTV ambayo...
Ngoma imevuja kwenye hii link-(MyNotjustok - Download Track) by the way nime-upload kuipata hapa jamii forum enjoy.....
Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri...