Your alltime favourite ALI KIBA song?

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,143
Wale washabiki na wadau wa mziki wa bongi fleva. Hivi song gani la king kiba unalikubali sana.

Mie binafsi ni hii hapa

"Mara ya mwisho mi nawe, kuonana kipindi kile twasoma..
Shule ya msingi kigoma...
 
Dushelele
Mali yangu
Nichumu
Single boy
Njiwa
Mapnz yana run dunia
Far away
Usiwatese yatima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom