Ngoma mpya ya diamond na p square

Ngoma mpya ya diamond na p square

jamal seif

Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
78
Reaction score
13
SIKILIZA MZIGO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ FT P SQUARE ALAFU UNIAMBIE NIAJE
 
Wakiboya tu....jamaaa hasikiki vizur...sasa cjui ni kingereza ndo shidaaaaaaa
 
io ni ya iyanya alimshrkshaga diamond alpokuja kwny fiesta ipo kwny album ya iyanya ndomana ukicklza hata mara mia hutackia saut ya psquare,, nawaclisha
 
Hakuna sauti ya peter wala paul humo acha kubisha vitu usivyovijua mkuu.. Hiyo ni nyimbo ya iyanya feat diamond... Ya dmond na p square bado haijatoka..

Hii ngoma bado tu kutoka?
 
Back
Top Bottom