Hizi ndio Taarab!

Rangi yako ya samawi kama sufi ngozi yako
Nakukuacha haiwi tabasamu na cheko lako
Naiona wazi wazi ishara ya pendo lako.
Duh!zamani zamani sio siku hizi kunukishana vikwapa.
 
Hapa ilikuwa raha tupu, hakuna ndombolo wala vibweka. Ilikuwa unakwenda kusikiza taarabu na familia. Lakini leo vurugu hata raha ya kuingia dansi la taarabu haipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom