Lady Jay Dee aachia single mpya, Ndindindi

Lady Jay Dee aachia single mpya, Ndindindi

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,507
Reaction score
13,962
Mwanamziki Mkongwe Lady Jay Dee ameachia Single inayokwenda kwa Jina la "Ndi ndi ndi" ambayo ameichia leo baada ya ule muda mrefu wa Matangazo ya Jay Dee anaamka tena
 
Wimbo mzuri, Ila tunataka nyimbo Zenye tempo ya juu!
 
Ndo nausikiliza sasa hivi.

Nitarudi baadaye kutoa nyota.
 
Nyimbo imepata promotion ya kutosha sana,Huyu kwangu ndio mwanamke wa nguvu na malkia wa kweli katika fani ya bongo fleva ,achana na wale wanao tunukiwa tunzo Kila mwaka na wazee wa magolofanii!
 
Uko wapi uho wimbo?wekeni apa wadau.
 
Wakuu ebu irusheni hapa. Mine download mkito. Imekuja intro tu
 
Huyu bado yuko vizuri, ngoma kali big up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom