Msaada wa kujifunza au kufundishwa hii kitu.

Antennah

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
6,709
8,679
Salaam wakuu
Mi ni mwanafunzi wa chuo flani hapa Songea-ruvuma lakini nyumbani Mbeya.
Sasa napenda sana na nahitaji sana kuwa mtaalam wa kutengeneza midundo au beats(yani kuwa music producer).

Kwa yeyote mwenye utaalam wa hii kitu na ana wish kunisaidia naomba anisaidie by any ways, hata ushauri napokea. PM or 0717148051.
 
Back
Top Bottom