Godfather vs Justine Campos

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,829
15,791
Hawa ni madirector wa Africa Kusini waliofanikiwa kuwateka sana wasanii wa bongofleva, kila msanii wa bongofleva akitaka kutoa kioo kikali atamtafuta mmojawapo kati ya hao.

Je? Ni yupi anatoa video kali zaidi?
 
God Father wapo creative zaidi kuanzia kuandika script, kushoot na kuedit video.

Nadhani pia Godfather ndo anabei zaid kuliko Campos ndo maana wasanii wakujikoki na kukimbilia SA kutoa vdeo huwa wanenda kwa Campos.
 
KWASASA JUSTIN CAMPOS ANAKIMBIZA HATARE GOD FATHER ANATUMIA UKONGWE ILA AWE MAKINI DOGO ANAKUJA KASI HATAREE
 
Mi namwelewa Justin Campos zaidi...

Hivi fid q na Mwana Fa ngoma zao mpya mbona hazipigwi sound city ?
 
Wanamuziki wengi wakubwa wa south wanafanya kazi na Justin Campos na wengi hawamjui hata kumjua huyo Godfather...

wapopo ndio wakija south wanafanya kazi na ndugu yao Godfather...so kwangu mimi Justin ni mkali kulko Good
 
wewe huna kazi mda wote 24hrs unakesha unatazama sound city?

nimeuliza tu mkuu huwa naangalia channel nyingi kupitia DSTV , hao sound city jmosi saa tano asubuhibhuwa wanaonyesha top ten ya east Africa ambayo mostly inakuwa dominated na wanamziki wa bongo
 
Wanamuziki wengi wakubwa wa south wanafanya kazi na Justin Campos na wengi hawamjui hata kumjua huyo Godfather...

wapopo ndio wakija south wanafanya kazi na ndugu yao Godfather...so kwangu mimi Justin ni mkali kulko Good
Wataje hao wanamziki wakubwa wa south wanaofanya Kazi n huyo justin
 
Wanamuziki wengi wakubwa wa south wanafanya kazi na Justin Campos na wengi hawamjui hata kumjua huyo Godfather...

wapopo ndio wakija south wanafanya kazi na ndugu yao Godfather...so kwangu mimi Justin ni mkali kulko Good
Et wasanii wa south hawamjui godfather huyo campos ndo hajulikana wasanii wanatoka nigeria wanamfata godfather na mtu pekee wa kushindana na godfather ni clerence peter huyo justin tunamuweka kundi moja na derick tena derick hajulikana coz hakifanya video haandiki jina lake ila anamkalisha huyo Justin
 
Godfather mkali, huyo justin ni kama hanscan tu.

Tema mate chini wewe... Campos yupo mbali sana ukicheki ile HD na colors za campos kitu kinang'aa kama maji ila godfaza mng'ao wake ni wa kuzidisha lights sana...na ideas video ya godfaza inavitu vile vile hua anabadlisha shots tu ila magari, nyumba vixens ni wale wale na ni rahisi kutambua hashangazi ila campos unakuta kichupa mwenyewe unashtuka huyu nani he is so creative
 
Campos yupo juu south, wasanii wengi nje ya nchi na ndani wanamfata sababu ni kwamba bei zake zipo feasible na kuna uwezekano wa kunegotiate, tofauti ya Godfather ni kwamba jamaa anacharge mpunga mrefu tu hana time na video za bei ndogo
 
Et wasanii wa south hawamjui godfather huyo campos ndo hajulikana wasanii wanatoka nigeria wanamfata godfather na mtu pekee wa kushindana na godfather ni clerence peter huyo justin tunamuweka kundi moja na derick tena derick hajulikana coz hakifanya video haandiki jina lake ila anamkalisha huyo Justin
Clarence Peter weka mbali na watoto usimlinganishe na upuuzi pllllllz tena nliskia anaish US jamaa .
 
Et wasanii wa south hawamjui godfather huyo campos ndo hajulikana wasanii wanatoka nigeria wanamfata godfather na mtu pekee wa kushindana na godfather ni clerence peter huyo justin tunamuweka kundi moja na derick tena derick hajulikana coz hakifanya video haandiki jina lake ila anamkalisha huyo Justin
mkuu wapopo lazima wamjue kumfata Goodfather maana ni mpopo mwenzao
 
Back
Top Bottom