Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Amenifanya niendelee kua shabiki wake wa siku zote Hiki ni zaid ya kipaji wandugu au mnasemaje wana jf kwa wimbo huu
3 Reactions
21 Replies
8K Views
When they first got together, it was a classic Friday, and it was a good day. Now they will be coming Straight Outta Compton, August 2015. Nategemea makubwa pia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This guy, just left the judges crying!!! What a talent CC: MGuccI
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Sio siri wakuu, hii nyimbo inanipeleka mbali sana kihisia kila nikiisikiliza. Ni lazima tukumbuke kusema asante kwa Mungu, whether tumepata au tumekosa. Kwa maana being alive itself ni jambo la...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Tujiburudishe kidogo na wimbo wa MALEBO kutoka kwa Munishi.
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Haya ndio mambo ya uswahilini ya vigodoro, seems like chura is everywhere after all!
2 Reactions
72 Replies
29K Views
Mcc ilikuwa movie fup na tamu ikaisha mapema kwa majibu mazuri kuwa hatutereki,ikaja movie lugumi,ikatokea movie ambayo haikufanya vizuri ya watu Fulani kuwatetea wanaotumbuliwa,movie ya dau...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Bonge la tamthilia kwa anaeifutailia atakubali kabisa hebu jazieni nyama hapa na ufafanuz wa kutosha wakuu tuijue vizur .
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu kuna tangazo la coca cola linwekwa sana ITV naomba mwenye kuifahamu nyimbo ambayo biy yake imetumika kwe tangazo lile mwenye kuifaham naomba msaada please,
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Somebody tell me about trap music.Siku hiz naskiaga Kuna aina ya mziki trap music.Najua kidogo Tu Kama trap soul,trap rap,edm, na style Yao ya kuimba Kama turn twister. Wasanii Kama future,Fetty...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Kama kuna mtu alishawahi kuusikiliza au kuuona wimbo wa nzige unoitwa chumba cha mtihani namuomba akoment baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo . Verse 1...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Wenge BCBG mwaka 1999 walitoa album yao inayoitwa TITANIC yenye nyimbo kumi,hakika labum hii kwangu mimi ndio album bora ya rumba kewahi kutokea.Kila wimbi utakaousikiliza hutamani uishe zaidi...
3 Reactions
84 Replies
19K Views
Je unapenda kuwa mwanamziki Tanzania timiza ndoto yako? Habari za Jioni waungwana, Baada ya utafiti usio rasmi kwa hapa Tanzania, hasa hasa jiji la Dar es salaam, kuna vijana wengi sana wakike...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimesikiliza miziki/nyimbo zao nikagundua hawa jamaa walikuwa wakali sana. Franco Luambo Makiadi akiwa na TP OK JAZZ alirekodi miziki mingi iliyotamba si Africa tu bali mpaka bara ulaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria wasanii ambao watakiuka agizo la kufanya video za muziki na kuzitoa bila kukaguliwa na Bodi ya Filamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa hii tamthilia inayorushwa na star tv tukutane hapa kwa ufafanuzi nawasalisha.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau hebu leo tutoe ya moyoni kuhusu watangazaji wetu wa redio na televisheni.. Ni yupi anayekuboa zaidi kufikia hatua ya kubadilisha hata channel unapomsikia? Kwa upande wangu ni watangazaji...
1 Reactions
256 Replies
53K Views
Tasnia ya filamu Tanzania(Bongo Movie) inazidi kukua kwa kasi, si tu nyumbani hata nje ya nchi watanzania wanazidi kung’ara. Safari hii mtoto wa kitanzania aitwaye Evan Byarushengo amabahatika...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapenda burudani wa Arusha, nina kaugonjwa ka live band, kiwanja gani inapatikana
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitukio la kufungiwa kwa wimbo wa chura kumeendelea kuonyesha ni kwa kiasi gani hili taifa wenye mamlaka wamekosa umakini ( watu wasio na uwezo) kwenye taasisi muhimu na sehemu mbali mbali za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…