Sio mimi jamani nimekopi sehemu!!!!!

Sio mimi jamani nimekopi sehemu!!!!!

Joined
Nov 19, 2013
Posts
96
Reaction score
47
Mwanaume kbs unakua na selfstick, una powerbank.... Na kweny cmu yako una #camera360,

""Eeenhh, wewe unafaa pia kua na pedi kwenye waleti yako""
 
hata kazi ya selfie stick pia, labda tuendelee hapo
 
hata camera 360 ina effects za kike na za kiume, mfano 'magic skin' ni ya kike zaid, na HDR ni ya kiume zaid... inategemea na matumizi....
 
nna mashaka na hii post, na mtumaji pia sidhani kama aliipitia vzur kabla ya kutuma
 
Mm pia nna bower bank so unanishaur nin mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom