20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,261 Aug 19, 2016 #1 Fanya kupitia hapa www.youtube.com/watch?v=dxd7ddCve4o
libra JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 301 Reaction score 121 Aug 21, 2016 #2 Wimbo upi ulianza kutoka?maana wazo linafanana.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,899 Reaction score 858,783 Aug 21, 2016 #3 Kila uchao utu wa mwanamke unazidi kudhalilishwa
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,261 Aug 21, 2016 #4 Halafu utasikia tunataka haki zetu, teh hua nawaza haki gani hizo?
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,064 Reaction score 7,551 Aug 22, 2016 #5 Nimeuangalia ila Chura ni balaa, ile mijimama na nyonga zao ni laini, hawa wa West Afrika wanatumia nguvu sana kujinyonga.
Nimeuangalia ila Chura ni balaa, ile mijimama na nyonga zao ni laini, hawa wa West Afrika wanatumia nguvu sana kujinyonga.