Zecomedy show Jumamosi hii na kila Jumamosi wamekuandalia mambo mazuri yatakayo kuacha ukiwa na Furaha tele moyoni mwako huku ukijisaulisha mambo mengi yanayotokea ndani nyumbani zetu serikali...
Dogo Chris Breezy ana fan base kubwa sana... 50 baada ya kukaa nje ya game la muziki kwa muda mrefu, alikuwa kila akijaribu kufanya ngoma ina buma. Kafanya track nyingi sana...
Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli...
work lyrics
I was wondering have you spotted anything that happens in the movies or on TV that just does not happen in real life, such as:
1 When it lighting it always thunders at the exact same...
Naomba kutanguliza salamu kwenu wanaJF.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi licha ya fuksa uliofanya na wahusika wa shindano hili na kuwadanganya watanzania kulikoni kulirudisha tena...
Aisee mi nataka kumsaidia idris sultani kwenye research yake, etttt anasema ile song ya mkali WA kimataifa baba tttttt au wenyewe wanamuita eti simbaaa! Kwamba song lake la Salome limebuma kwa...
Wizara ya Habari yaruhusu wimbo na video mpya ya wimbo wa Snura 'Chura' kuchezwa baada ya kufanyiwa marekebisho na kukubaliwa....
================
Leo october 5 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani...
Nimeona leo kwenye baadhi ya magazeti na blog,Kwamba Bella apagawisha ikulu kwenye dhifa iliyoandaliwa na Mkuu wa nchi kwa mwenzake wa DRC,Nimegundua Kulikuwa pia na wanamiziki wengine...
Imma The Boy!
Keeping the Good Music Alive!!
[Ben Pol
Naona raha, nimepata furaha maishani
Na kila saa, naona nuru iking'ara moyoni Na kama wao walidhani hatutadumu pendoni
Tizama leo watuona...
Hivi haya mambo yapo kweli wadau au ni story tu, fungua link hapo chini. Fungu Link y kwanza, ukiishasoma then angalia hiyo clip link namba mbili:
1. Sell Your Soul To the Devil
2.
Nimesikiliza sana nyimbo ya Jay-D ambavyo imerudiwa na watu wa nje ya nchi na nimepata faraja ghafla. Ana kipaji cha kipekee sana huyu dada yetu, (She's Original). Wimbo huu ukiusikiliza vizuri...
Lady Jay Dee anastahili pongezi kubwa katika nyimbo yake hii mpya ambapo amegusa vijana waleo walio amua kuishi maisha ya ajabu yaliojaa starehe na usaliti ktk ndoa .....Viva dada Jide na hongera sana
Naomba mnisaidie jinsi ya kuipata tamthilia ya La Revancha iliyowahi kurushwa na chanel ya TBC1 enzi hizo ikiitwa TVT.Nimejaribu mitandaoni kwa uelewa wangu lakini sijafanikiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.