Tabibu tv, mmiliki ni nani?

Tabibu tv, mmiliki ni nani?

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
17,470
Reaction score
13,818
Wasalam wana jf,ivi karibu kwenye kingamuzi cha star times naona majaribio ya ujio ya tv mpya kwa lugha ya malkia(signal test) je ndio ujio mpya kwa tabibu aliyefungiwa na serikali kutoa huduma ya tiba ya mbadala??
 
Sorry mgeni humu jamii forum naomba kuuliza nafanyaje kama nataka nipost kitu
 
Back
Top Bottom