Kinondoni talent search inaoneshwa Star TV

Kinondoni talent search inaoneshwa Star TV

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,983
Salaam Wakuu.

Sasa Hivi Star Tv Kuna Kinondoni Talent Search.Muandaaji Ni Paul Makonda,mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni.Ni Jambo Zuri Lakini Hakuna Maofisa Utamaduni?

Mgeni Rasmi Ni Mh.Rais Wa JMT.

Makonda Alihusika Pia 'Kupatanisha' Madreva Wa Tanzania Na Waajiri Wao.

Wahusika Ni Wachekeshaji, wanamuziki, waigizaji. Eti Lengo Ni Kukuza Ajira!

Ni Kweli
 
Mmmmh naomba uthibitisho wa hii habari ndio nichangie,vp magufuli naye yupo?
 
achemi kubeza vtu vingine mnatakiwa mkubali kwenye ukweli na ubora wake
 
Makonda anajikomba kwa magufuli ili na yeye aonwe kwenye ufalme Kama akishinda...Tuma hili kichekesho kwenda 15678 upate vingine.
 
Salaam Wakuu. Sasa Hivi Star Tv Kuna Kinondoni Talent Search.Muandaaji Ni Paul Makonda,mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni.Ni Jambo Zuri Lakini Hakuna Maofisa Utamaduni?Mgeni Rasmi Ni Mh.Rais Wa JMT.Makonda Alihusika Pia 'Kupatanisha' Madreva Wa Tanzania Na Waajiri Wao.Wahusika Ni Wachekeshaji,wanamuziki,waigizaji.Eti Lengo Ni Kukuza Ajira!Ni Kweli

Wewe ulitaka afanye nini ili uridhike?
 
Mmmmh naomba uthibitisho wa hii habari ndio nichangie,vp magufuli naye yupo?

.
Inabidi Jk awe karibu sana na Magufuli maana akimwacha mbali na yeye asistajabie kusikia kahamia ukawa.
.
 
.
Inabidi Jk awe karibu sana na Magufuli maana akimwacha mbali na yeye asistajabie kusikia kahamia ukawa.
.

Mafuriko ni habari nyingine!Huyu Magufuli JK msalaba aubebe mwenyewe
 
Wakati wenzetu wanapambana na sayansi na teknolojia na kukuza uchumi sisi tunapambana na kukata viuono.Aibuu hata wewee
 
bila shaka leo mzee wa "cheap public stunt" aka makufuri atanengua.kumbuka last two weeks alipiga tumba.:biggrin1::biggrin1:
 
Pwahahahahahahahahahahahahahahaha.....Nchi haichukuliwe na bongo fleva wala movie
 
Salaam Wakuu. Sasa Hivi Star Tv Kuna Kinondoni Talent Search.Muandaaji Ni Paul Makonda,mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni.Ni Jambo Zuri Lakini Hakuna Maofisa Utamaduni?Mgeni Rasmi Ni Mh.Rais Wa JMT.Makonda Alihusika Pia 'Kupatanisha' Madreva Wa Tanzania Na Waajiri Wao.Wahusika Ni Wachekeshaji,wanamuziki,waigizaji.Eti Lengo Ni Kukuza Ajira!Ni Kweli

Bp Magufuli hayupo?
 
Ao wabana pua na wngne n wachache xana tz hi,wambie wamebugi, ngoja tuwa ckilze bhana.
 
yani ccm wana poor strategy adi kuona wasanii ni mtaji hawajui sasa watu hawadanganyiki
 
mnaonaje nikampeleka makonda china apewa cheoo........prof......badal waonyeshe matatizo au mada za kujenga nchi ni fulishi and stupid kabisa,!!!!
 
Back
Top Bottom