Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 811
- 1,312
Nyimbo inaitwa 'how long''....daaah jamaa karudi vizuriiiiii sanaaaa...big up kwake maaana tulimis fleva zake mda mrefu sanaaaa....kama kawa Sony music wamesimamia mpango mzima mpaka Davido kapata kolabo na Tinashe...
tusubulie Alikiba wetu huenda akapata kolabo na Beyonce
Davido - How Long ft. Tinashe
tusubulie Alikiba wetu huenda akapata kolabo na Beyonce
Davido - How Long ft. Tinashe