Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari wadau. Ben pol ana wimbo wake mzuri sana unafahamika kama moyo mashine. Sasa huu utaratibu wa kufanya rmx au sijui cover wamefanya wengi sana Ila kuna dada mmoja sijamjua nae kufanya hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Karibuni tukumbushane aina ya mziki Wa raggea na wanamziki wake na makundi yao waliowai kukuvutia sana. Mimi napoisikia Shembe ya lucky dube.night nurse Gregory. Ub40 natulia sana.je wewe!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani sijui wenzangu mnaofatilia Bongo fleva mnaonaje hili! Hivi ulishawahi kusikiliza vema nyimbo za Ally Kiba anazoimba sasa baada ya kutoa ule wimbo wa "Mwana" halafu ukajiuliza Diamond...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar zenu wadau Hebu tuangalie hii tasnia ya vichekesho bongo. Kifupi ni kwamba kwa sasa tasnia hii imevamiwa yani uvamizi mkubwa umeingia ktk tasnia hii Kumekuwa na idadi kubwa ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
... Nimebarikiwa san na uwo wimbo embu na ww ucheki ss
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari,naitaji movie hii mwenye nayo ama link ambapo naweza kuipakua anisaidie,nipatie direct link maana nimetafuta sana kwenye movie site sijaweza kupakua zaid ya ku watch online tu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Download Shubey K_Platinums-UKIMWI http://muzikipromo.blogspot.com/2016/09/shubey-kplatinums-ukimwi-new-official.html?m=0
0 Reactions
0 Replies
689 Views
mashairi ya kiitikio yanasema. "kwako nimenasa bila ulimbo, kwako sijiwezi mwenzio''. unaitwaje? nani kaimba? natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ally kiba kuwania tuzo MTV EMA 2016 mzamilmik: Ally kiba kuwania tuzo MTV EMA 2016
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Nimepita stand ya daladala hapa Kilombero Arusha nimekuta Gari la matangazo linamasticker ya M na mwenge siwezi kuweka hapa maana nayachukia.. swali langu kwenu wanajukwaa kumbe fiesta ni...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Nahitaji sana nyimbo za nasma kidogo mwenye nazo tafadhali hasa hasa ule unaitwa subaheri kama sikosei.. Msaada ndugu zangu!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
I fell in love in a pool party She calling me 2chainz I wanted a bugati Gold on my two rings She call me the cool kid Kiss on my new rim She loving the cool She loving the cool She know that...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Hawa jamaa kitambo sana sijawasikia. Nyimbo yao ya mwisho kuisikia walikuwa wamemshirikisha DJ fetty siku hizi sijui wako wapi na wanafanya nini. Mwenye nyimbo zao naomba anisaidie jamaa...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Mara nyingi watu wanaposhindwa kusimama katika hoja huwa wanaanza kuibua viroja wakidhani zinaweza kuwavusha katika jambo husika. Vituko huwa vinaanza pale mtu anaposimama na kutaka kuaminisha...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Hivi huu wimbo ulitoka kweli!? Mwanzoni mwa May nilisoma kwenye blog mbalimbali juu ya hii collabo, na Tundaman alipost kwenye insatagram yake akiusifia! Je kuna mtu yeyoye ambaye ameshausikia na...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Nlikuwa naiskia tu kakini now naiona hapa startimes ipo kwenye signal test, na ni free
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom