FILMON TV FREE LIVE TV MOVIES AND SOCIAL TELEVISION Watch and Record over 500 LIVE TV Channels for free! Local TV too! Bigger than Netflix and Hulu and TV Catchup and Zattoo combined! We host over...
Yes the waiting is Over, birthday ya fulani imeingiwa mchanga
Video ni kali sana, very unique, directed by Mejialabi, Set in South Africa
Note: sio kama zile video zao za kucopy na kupaste...
Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu...
Kuna mitaa nilikua napita nikasikia wimbo maarufu wa Christian Bella ukiimbwa
kwa lingala mwanzo mwisho
najiuliza ni yeye huyo Christian Bella?
je nyimbo zake zote ameimba pia ki congo?
au ni...
Habari wadau, nadhani mpo vizur
Mim ni mpenzi wa hadithi mbalimbali za maandishi hata za simulizi kwa njia ya mdomo
Ninaomba mwenye nazo za kusimulia kwa njia ya mdomo anitafute tafadhari za...
Habari wakuu....
Kuna nyimbo nilikuwa ilikuwa inapiwa sana kipindi hicho nafikiri miaka ya 2006-08 na hata sasa huwa inapigwa katika vituo vya redio lakini mara chache sanaaa,huo wimbo unaeleza...
Cha kushangaza ni dogo wa Kanda ya Ziwa! Yaani promo za kuotea lakini bado naiona hii track ikiziburudisha hadi nyoyo za mbali!!
Hebu wazaramo semeni, track kama hii ikipigwa badala ya zile...
Wadau, Msaada kwa mwanajukwaa yoyote mwenye wimbo wa Kifo cha Baba ulioimbwa na Daima Abdallah wa Dhamira Musical Taarab. naihitaji audio au address ya sehem ninayoweza kwenda ku download
ON air right NOW! Hawavumi lakini wamo ebwane kuna wasanii wanavipaji huku hatari tupu yaani akina Diamond wafanye fanye wawaite wakasign label ya wasafi tu asee, au akina Barnaba boy au hata SONY...
Nipo sebuleni nimejipumzisha Hapa.. Sasa Wadogo hapa Wanapenda Sana Kuweka StarTimes Swahili kwa Sababy ya Maigizo ya Kiswahili... Na Mm Nilipofika Hapa nikajilaza Tu kwenye Kochi naangalia Mada...
Nimefuatilia coke studio Africa mwaka jana 2015 lakini hakuna wimbo ulionifurahisha kama "REASON" Ulioimbwa na Wangechi, Neyo, Dama do Bling, Maurice Kirya, Ice Prince, Alikiba na Ne-Yo...
You know where I've come from,
You know my story,
You know why I'm standing here...
Tonight,
Please don't go,
Don't be in a hurry,
I'm here to make it clear,
Make it right,
Well I know I've acted...
Kama wewe ni mpenzi wa series za kikorea nadhani ushawai kuviona hivi vichwa kwenye series mbalimbali.
Kwangu mimi hawa ndo best favorite actor of all time kunako series za kikorea.
Akihojiwa na kipindi cha friday night live kinachorushwa na east african tv msanii maarufu Tanzania Tid akijiita mnyama,, hilo lilikuwa ni ombi la mtazamaji wa kipind hicho kwamba kwa sasa mnyama...
Habari wadau.
Ben pol ana wimbo wake mzuri sana unafahamika kama moyo mashine. Sasa huu utaratibu wa kufanya rmx au sijui cover wamefanya wengi sana Ila kuna dada mmoja sijamjua nae kufanya hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.