Anaondoka na kitita cha tsh 30,000,000. Hongera zake!!
========
Olive Kiarie kutoka Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus Afrika Mashariki 2016. Amejinyakulia TZS milioni 30
-,waziri Mwijage azindua mashine ya kusaga iliyotengenezwa na washiriki wa maisha plus
-Pia amempa mshiri toka Mtwara mashine ya kubangua korosho..
--Final rasmi itaanza saa 3 usiku Azam tv
Haya sasa Wale wadau wote tunaofuatilia msimu wa Tano wa maisha plus tumwagike hapa kuwachambua washiriki kwa namna wanavyoishi ikiwa na pamoja na umuhimu wa mshiriki mmoja mmoja na sio mbaya...
Naona music videos nyingi za wasanii wetu zinatengenezwa SA, ndio kusema directors wetu hapa hawana viwango au location za huko ndio zinawavutia?! Tena hata video quenns wengine wanatumia wazungu...
Washiriki 16 waliongia hatua ya 16 Bora Leo wanachuana katika hatua ya Mwisho kutambua Nani ataibuka na shillingi Milioni 30:
Azam TWO watakuwa live saa 3 Kamili Usiku
Hebu tubashiri kidogo...
Utamaduni ni kitu cha ajabu sana. Hivi ushawahi kuangalia jinsi King Mswati anavyotafuta jiko. Ni utamaduni wa aina yake. Utamaduni wao wa kila mwaka umekuwa ukivutia watu kutoka mataifa...
Anaitaji kudownload Series ya Empire cast season 2&3. Mwenye links tafadhali.
Pia naitaji kudownload Series ya STEAK BACK Season 4&5 na 6. Mwenye links Tafadhali,
jamanii nipo Serious kwenye...
Tunaambiwa "if you can't beat them ,join them". Hivo ndivyo ilivyo kwa hapa bongo. Tukubali, tukatae au tuwachukie ila truth will set you free. Clouds media ni wapo juu sana kuliko media yoyote...